🔵EPISODE 16: MIUJIZA ALOIONA NANA HALIMA SADIYA WAKATI WA KUMLEA MTUME MUHAMMAD ﷺ | SHEIKH SALIM
Автор: Masjid Taqwa Mnarani
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 13
Katika darsa hii yenye kugusa nyoyo, Sheikh Salim anaelezea kwa kina miujiza na baraka alizozishuhudia Nana Halima Sadiya wakati alipokuwa akimlea na kumnyonyesha Mtume wetu Muhammad ﷺ.
Utajifunza:
Jinsi umasikini ulivyobadilika kuwa neema
Baraka katika mifugo na maisha ya Nana Halima
Ishara za utume tangu Mtume ﷺ akiwa mchanga
Mafunzo muhimu kwa Waumini kuhusu tawakkul, subira na baraka za kumfuata Mtume ﷺ
📌 Darsa hii ni ukumbusho mzito kwa kila Muislamu kuhusu cheo cha Mtume Muhammad ﷺ na rehema alizokuja nazo kwa walimwengu wote.
👉 Usisahau LIKE, COMMENT na SUBSCRIBE kwa darsa zaidi za Qur’an na Sunnah.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: