SWALA: NGUZO MUHIMU KATIKA UISLAMU | USTADH AHMAD ALI KARISA
Автор: Masjid Taqwa Mnarani
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 8
Swala ni nguzo ya pili katika Uislamu na uti wa mgongo wa dini. Katika darsa hii, Ustadh Ahmad Ali Karisa anaeleza umuhimu wa swala, nafasi yake katika maisha ya Muislamu, na athari zake katika kumjenga mja kiroho na kimaadili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: