SHUJAA BILA GWANDA: Al Bajoun anayetumia mtindo wa 'rap' kulingania
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2021-03-14
Просмотров: 4936
Kuna wanaodhani kuwa ushairi wa kufokafoka (rap) ni alama ya uhuni, lakini Bajoun Rashid Dalu (Al Bajoun) anawathibitishia kuwa ukweli ni tafauti. Ameamuwa kuutumia uwezo wake wa kulumba kulitangaza neno la Mwenyezi Mungu kwa waja wake. Na ndiye shujaa wetu asiye gwanda hivi leo kwenye Gumzo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: