AIC Shinyanga Choir - Sheria/Mahakama (Official Video)
Автор: AIC Shinyanga Choir Official Page
Загружено: 2020-04-16
Просмотров: 438212
Kwa neema ya Mungu, AIC Shinyanga kwaya ilipata nafasi ya kuhudumu katika maadhimisho ya wiki ya sheria/mahakama ya mwaka 2020 kwa ngazi ya mkoa, mkoa wa Shinyanga tarehe 06.02.2020, kauli mbiu ikiwa "UWEKEZAJI NA BIASHARA, WAJIBU WA MAHAKAMA NA WADAU KATIKA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA UWEKEZAJI"
Audio production; Edema's Digital Studio
#specialproject
#mahakama2020
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: