Serikali kuzindua vyuo vya mafunzo ya KDF na polisi eneo la North Rift
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-26
Просмотров: 281
Serikali imekariri azma yake ya kuhakikisha amani ya kudumu katika eneo la North Rift. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, akisema kuwa amani inayoshuhudiwa katika eneo hilo inatokana na ushirikiano baina ya jamii na mashirika ya kiusalama, alikariri kwamba vyuo vya mafunzo kwa huduma ya taifa ya polisi na vikosi vya ulinzi nchini vitaanzishwa katika eneo hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: