UWEKEZAJI HOTEL YA KISASA YA BEST WESTERN DODOMA
Автор: Uwekezaji TV
Загружено: 2025-02-02
Просмотров: 539
Hoteli ya Best Western ni moja ya miradi iliyosajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), jambo ambalo limeiwezesha kupata vivutio vya kikodi.
Moja ya faida kubwa ambazo wawekezaji wa hoteli hii wamezipata ni punguzo la kikodi kwa uagizaji wa samani (Furnitures) kutoka nje ya nchi, hatua iliyopunguza gharama za uwekezaji na kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa.
Uwekezaji katika hoteli ya Best Western umewanufaisha wakazi wa Dodoma kwa kutoa fursa za ajira.
Mbali na hayo, uwekezaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kuboresha miundombinu jijini Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: