Yesu na Mwanamke Msamaria | Yohana 4:1–42 | Hadithi ya Biblia
Автор: BIBLIA NA MIMI
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 272
📖 Yesu na Mwanamke Msamaria | Yohana 4:1–42 | Hadithi ya Biblia
Tazama hadithi kamili ya Biblia kuhusu Yesu na Mwanamke Msamaria kutoka Yohana 4:1–42. Katika simulizi hii, Yesu anakutana na mwanamke Msamaria kando ya kisima cha Yakobo na kumfunulia siri ya maji yaliyo hai, ibada ya kweli, na kumtambulisha mwenyewe kama Masihi.
Hadithi hii ya Biblia inaonyesha wazi kwamba wokovu wa Mungu ni kwa watu wote. Kupitia ushuhuda wa mwanamke huyu, Wasamaria wengi walimwamini Yesu Kristo na kutambua kwamba Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu.
🙏 Tazama hadi mwisho, jifunze Neno la Mungu, na share video hii ili kuwafikia wengine kwa Injili ya Yesu Kristo.
📚 Picha za hadithi ya Biblia: ©FreeBibleImages.org
Waandishi/Wachangiaji: Marian van der Kruijt, Joseph Prasad, John Hardwick
#YesuNaMwanamkeMsamaria #Yohana4 #HadithiZaBiblia #BibliaKiswahili #YesuKristo #Injili #MajiYaliyoHai #Masihi #BibliaKwaWatoto #Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: