Hatua ya Marekani kumkamata Rais Maduro kutaathiri vipi demokrasia ulimwenguni? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-06
Просмотров: 2802
Hatua ya Marekani kuivamia Venezuela na kumng’oa madarakani Rais Nicolás Maduro imezusha mjadala mkubwa na ni tukio linalotikisa siasa za kimataifa. Miongoni mwa masuala mazito ambayo hatua hizo zimeathiri pamoja na sheria za kimataifa, demokrasia, na maslahi ya kiuchumi. Swali kuu ni je, hii ni hatua ya kuleta utulivu au ni mfano wa neo-imperialism ya karne ya 21? Sikiliza Mjadala tukiwashirikisha wachambuzi kwa njia ya simu. #dwhabarimotomoto #dwmjadala #nicolasmaduro #trump #venezuela
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: