VITA VYA AJABU NA VIFUPI ZAIDI DUNIANI, NDANI YA DAKIKA 35 TU. KATI YA ZANZIBAR NA UINGEREZA.
Автор: Nuzlan Islamic TV
Загружено: 2024-12-13
Просмотров: 7858
VITA VYA ANGLO ZANZIBAR: VITA VYA AJABU NA VIFUPI ZAIDI DUNIANI.
Katika makala hii, tunachunguza vita fupi zaidi katika historia - Vita vya Anglo Zanzibar. Tutaangazia sababu za vita hivi, matukio muhimu, na athari zake kwa historia ya Zanzibar na ulimwengu mzima.
Utajifunza kuhusu uhusiano kati ya Uingereza na Usultani wa Zanzibar, jinsi vita ilivyodumu kwa dakika 38 tu, na nini kilifuatia baada ya ushindi wa haraka wa Uingereza.
Jiunge nasi katika safari hii ya kipekee na ujifunze zaidi kuhusu historia isiyo ya kawaida!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: