Ipi hatma ya vita vya nchi ya Sudan?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-04-14
Просмотров: 1669
Mgawanyiko wa mawazo ya viongozi wa Sudan unasababisha muendelezo wa migogoro.
Je, kuna jitihada zozote za upatanishi wa viongozi wa sudan?.
Je, kuna uwezekano wa Sudan kugawanyika na kuwa sehemu mbili zenye mamlaka tofauti?.
Kuyajua mengi zaidi kuhusiana na mgogoro huo wa nchi ya Sudan fuatilia uchambuzi huu uliojadiliwa na Ibrahim Rahby.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: