MKAPA ALIVYOTANGAZA KIFO CHA MWL NYERERE || MAGUFULI ALIVYOTANGAZA KIFO CHA MKAPA KWA UCHUNGU
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-07-24
Просмотров: 107088
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alitangaza kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa UCHUNGU huku akiwa amembatana na makamu wake wa Rais, Dk Omari Ali Juma na waziri wake mkuu Frederick Sumaye. Leo Ijumaa, Julai 24, 2020 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ametangaza kifo cha Mkapa kwa uchungu akieleza alifariki akiwa hospitalini jijini Dar es Salaam
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: