NYERERE MAKALA || Hii hapa historia ya Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-10-14
Просмотров: 143907
Tanzania inaadhimisha miaka 24 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere aliyefariki tarehe 14 Oktoba 1999 jijini London, Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Sehemu ya historia ya Mwalimu Nyerere kwenye harakati za kuwania uhuru sambamba na uongozi wake kwa Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: