Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

SWALI.. #3 =JE.... KUOA WANAWAKE WENGI NI DHAMBI..? Au sio dhambi.. (@sikiliza hadi mwisho)

Автор: UNYAKUO TV.

Загружено: 2021-10-18

Просмотров: 1963

Описание:

WALIOOA WANAWAKE WENGI KWENYE BIBLIA -
MWANZO - 4 : 19
1 WAFALME -11 : 3
1 NYAKATI - 8. : 8
2 NYAKATI - 11 - 21/23
_____________________________________
YOTE UNAYOSKIA KATIKA CHANNEL HII NI AMINI NA KWELI,

MAOMBI YANAFANYIKA KWA WALIO MBALI. Kwa majina yao wanao okolewa.
👉 YEREMIA- 23 (23)

KARIBU KATIKA CHANNEL HII.. utapata kujifunza na kujua mengi kuhusu Mungu,
mithali -8(4-5) matendo-13(41) 1yohana-5(7)

WHAT'S APP. +255686448880
EMAIL: [email protected]
FACEBOOK PAGE: Prophet Boniface

MIMI NI NABII WA MUNGU.
BONIFACE. VICTOR
👉ZABURI- 4 (2-4)

Mwisho wa dunia ni mwaka
2673.21

UFUNUO-14 (2-3) YESU KABRA YA KUJA MARA YA TATU KUANGAMIZA DUNIA YOTE ATAMTUMA MALAIKA WAKE.kuhubili injili dunia nzima.
kama alivyomtuma yohana kabla ya kuja kwake .( Yohana-1 : 6-7)
Kama alivyo muagiza Nuhu kabla hajaangamiza ulimwengu wote.
(Mwanzo- 6 : 13 na Mwanzo- 7 : 1-4)
Kama alivyo muambia ibrahimu kabla hajaiangamiza sodoma na gomola.
(Mwanzo- 18 : 17-24)
Kama alivyo mtuma malaika kumuambia maria na yusufu kua watapata mtoto
(Luka- 1 : 30-32)
Na kuja kwake mara ya pili amenituma mimi mtumishi wake kuwapa habali ya mwisho wa ulimwengu wote.na unyakuo
(Isaya- 42 : 9)

SOMA VIZURI BIBLIA UTAELEWA KUJA KWA MWANA WA ADAMU MUHURI WA 6 NI KUJA KWA YESU TENA MARA YA PILI. ITACHUKUA MIAKA 7. UTAFUNGULIWA MUHURI WA 7 KWA MAPIGO 7 KWA WALIOBAKI ULIMWENGUNI.UFUNUO 14-18/ UFUNUO 6 :(14)

MATHAYO- 24:29 -30
29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika;
30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.

UFUNUO - 6:12-13
12 Nami nikaona, alipoifungua muhuri ya sita, palikuwa na tetemeko kuu la nchi; jua likawa jeusi kama gunia la singa, mwezi wote ukawa kama damu,
13 na nyota zikaanguka juu ya nchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.

HIZI NI HABARI ZA KWELI,KWA DUNIA NZIMA. SASA MUHURI WA NNE UMEFUNGULIWA. WATU LAZIMA WAUAWE .CHUKIZO LA UHARIBIFU LIMEANZA

UFUNUO- 6: 7-8
7 Na alipoifungua muhuri ya nne, nikasikia sauti ya yule mwenye uhai wa nne akisema, Njoo!
8 Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa hayawani wa nchi.

SWALI.. #3  =JE.... KUOA WANAWAKE WENGI NI DHAMBI..? Au sio dhambi.. (@sikiliza hadi mwisho)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

JE YESU KRISTO ALISEMA NINI KUHUSU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA

JE YESU KRISTO ALISEMA NINI KUHUSU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA

Dr. Chris Mauki: Epuka maneno haya 8 wakati wa tendo la ndoa

Dr. Chris Mauki: Epuka maneno haya 8 wakati wa tendo la ndoa

MZEE wa UPAKO  - ''NI NGUMU KUKUTA MWANAUME HANA MCHEPUKO, KATIKA WANAUME 100, 90 WANA MCHEPUKO''

MZEE wa UPAKO - ''NI NGUMU KUKUTA MWANAUME HANA MCHEPUKO, KATIKA WANAUME 100, 90 WANA MCHEPUKO''

maisha ya ndoa.mzee was upako

maisha ya ndoa.mzee was upako

Kwa nini mwanaume anaoa wanawake wengi ?

Kwa nini mwanaume anaoa wanawake wengi ?

KUOA WAKE WAWILI SI UZINIFU BALI KUCHEPUKA NJE YA NDOA NI DHAMBI YA MAUTI.

KUOA WAKE WAWILI SI UZINIFU BALI KUCHEPUKA NJE YA NDOA NI DHAMBI YA MAUTI.

NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE?

NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE?

SWALI- #2 =JE. MWANAMKE AMERUHUSIWA KUWA MCHUNGAJI..? Jibu la roho mtakatifu ni hili / 1Timoteo-2;12

SWALI- #2 =JE. MWANAMKE AMERUHUSIWA KUWA MCHUNGAJI..? Jibu la roho mtakatifu ni hili / 1Timoteo-2;12

Maisha ni mapambano

Maisha ni mapambano

MAJIBU:JE!KUPANGA UZAZI/UZAZI WA MPANGO NI DHAMBI?_ APOSTLE SIMON GICHINGA.

MAJIBU:JE!KUPANGA UZAZI/UZAZI WA MPANGO NI DHAMBI?_ APOSTLE SIMON GICHINGA.

WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?

WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?

DHAMBI KUU 2 MUNGU HAWEZI KUKUSAMEHE!! KUWA MAKINI SANA

DHAMBI KUU 2 MUNGU HAWEZI KUKUSAMEHE!! KUWA MAKINI SANA

MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!

MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!

MJADALA KUHUSU NDOA YA WAKE WENGI ULIONYESHWA KATIKA LOLWE TV

MJADALA KUHUSU NDOA YA WAKE WENGI ULIONYESHWA KATIKA LOLWE TV

MSIMAMO WA BIBLIA KUHUSU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA

MSIMAMO WA BIBLIA KUHUSU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA

ISHMAELI AU ISAKA? : KIPINDI CHA MASWALI. MAZINGE NA WAISLAMU WAKOSA MAJIBU

ISHMAELI AU ISAKA? : KIPINDI CHA MASWALI. MAZINGE NA WAISLAMU WAKOSA MAJIBU

Kuoa wake wengi

Kuoa wake wengi

WAKRISTO KUTOKUOA WAKE WENGI TUNAMSAIDIA SHETANI KAZI YA KUUA

WAKRISTO KUTOKUOA WAKE WENGI TUNAMSAIDIA SHETANI KAZI YA KUUA

КТО НА САМОМ ДЕЛЕ ЭТИ 24 СТАРЦА, СТОЯЩИЕ ПЕРЕД ПРЕСТОЛОМ БОЖЬИМ?

КТО НА САМОМ ДЕЛЕ ЭТИ 24 СТАРЦА, СТОЯЩИЕ ПЕРЕД ПРЕСТОЛОМ БОЖЬИМ?

NABII DENIS AACHWA NA MCHUMBA WAKE KISA HUDUMA,  BAADA YA MUDA KIDOGO ATAMANI KURUDI YASHINDIKANA.

NABII DENIS AACHWA NA MCHUMBA WAKE KISA HUDUMA, BAADA YA MUDA KIDOGO ATAMANI KURUDI YASHINDIKANA.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]