Mtia Nia Jimbo la Isimani Apongeza Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita
Автор: PAMLOMO24
Загружено: 2025-07-08
Просмотров: 1834
Iringa – Mtia nia wa ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Evance Komba, ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa mafanikio mbalimbali yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hususan katika sekta za miundombinu, afya, elimu na maji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: