Jinsi ya kupika Sponge Cake / Mkate wa Mayai hatua kwa hatua
Автор: Fau Delicious
Загружено: 2025-01-20
Просмотров: 8899
Asalam aleikum.
Leo nawaonyesha jinsi ya kupika Mkate. Wa Mayai. Hatua kwa hatua kwa njia Rahisi sana
MAHITAJI
.Unga kikombe 1
.Sukari 1/2 Kikombe
.Mayai 5
.Maziwa Vijiko 2
.Mafuta vijiko 2
.iliki kijiko 1
.Arki ya Vanilla kijiko 1
.Baking powder nusu kijiko 1 cha chai
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: