FAIDA ZA KUSARI ROZARI TAKATIFU
Автор: Mawaridi Media
Загружено: 2024-10-03
Просмотров: 165
FAIDA YA KUSALI ROZARI.
1️⃣Inasaidia mtu kutambua mabaya na mema na kumpatia mhusika uwezo wa kuacha dhambi za mazoea. Mabadiliko ya kweli kutoka ndani ya mtu.
2️⃣Inamsaidia mtu kupata mapema zaidi majibu ya nia zake aliyojiwekea.
3️⃣Umeshiriki mateso na mama Maria ambayo yameambatana na mateso ya Yesu Kristo mwenyewe.
4️⃣Unapata neema alizotutunzia mama Bikira Maria kwa kusali Rozari hii.
5️⃣Inasaidia kufahamu Nia ya adui zako. Wao wenyewe watakuambia kwa kugeukana.
#Mawaridimedia
#catholicchurch
#Rozaritakatifi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: