Kilimo Bora cha Kitunguu Kupitia Mbinu za Kilimo Hai
Автор: Floresta Tanzania
Загружено: 2024-09-06
Просмотров: 1940
Kilimo hai ni mbinu endelevu inayolinda mazingira na kutoa mazao yenye afya. Hawa ni wanachama wa Kikundi cha Emusoi kinacho simamiwa na Shirika la Floresta Tanzania kutokea Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro wakivuna vitunguu walivyo lima kwa kutumia mbinu za kilimo hai kwenye shamba dara la kikundi chao.
Wanachama wa kikundi cha Emusoi wanathibitisha kuwa mazao bora na salama yanaweza kupatikana kupitia kilimo hai
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: