Hadhi na hifadhi ya Dk. Salim Ahmed Salim | Gumzo Maalum na ISMAIL JUSSA | GG Podcast
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2023-10-08
Просмотров: 7776
Kwenye mazungumzo haya maalum na mchambuzi na mwanasiasa Ismail Jussa, tunazungumzia juu ya kuzinduliwa kwa Hifadhi ya Nyaraka za Mtandaoni kwa ajili ya kumbukumbu ya mwanadiplomasia wa kimataifa mzawa wa Zanzibar, Dk. Salim Ahmed Salim.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: