Canada LMIA Jobs 2025 : Temporary Foreign Worker Program 🇨🇦 | Kazi za LMIA Canada
Автор: leza tv canada
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 13368
Unataka kufanya kazi Canada mwaka 2025? 🇨🇦
Hii video inakuonyesha jinsi ya kupata kazi za LMIA approved kupitia Temporary Foreign Worker Program (TFWP) moja kwa moja kutoka kwa tovuti rasmi ya serikali ya Canada (Job Bank).
✅ Kazi hizi ni halali na zipo kwenye sekta kama: farming, cleaning, food processing, factories, hospitality na trucking.
✅ Unaweza ku-apply moja kwa moja ukiwa Kenya, Uganda, Tanzania, Congo au sehemu yoyote Afrika Mashariki.
✅ Hakuna malipo ya LMIA – waajiri wa kweli hawakuchaji pesa!
🔗 Link rasmi ya kazi zote za Temporary Foreign Workers:
👉 https://www.jobbank.gc.ca/temporary-f...
👉 Angalia video hii hadi mwisho ujifunze:
00:00 - Utangulizi
01:30 - LMIA Jobs ni nini?
04:00 - Jinsi ya kupata kazi kwenye Job Bank
07:15 - Jinsi ya ku-apply ukiwa Kenya, Uganda, Tanzania, Congo
10:00 - Vidokezo vya kuepuka matapeli
12:00 - Maswali ya kawaida kutoka kwa waombaji
📌 Tafadhali SUBSCRIBE kwa channel yetu Leza TV Canada kwa video zaidi kuhusu maisha na kazi Canada kwa waafrika.
#CanadaJobs2025 #LMIA #EastAfricaToCanada #TFWP #KenyaToCanada #TanzaniaToCanada #UgandaToCanada #CongoToCanada
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: