HII NDIO MISUKULE SASA TOKA KATETE
Автор: Tamaduni TV
Загружено: 2025-07-15
Просмотров: 662
Samba ni ngoma ya Kinyakyusa inayochezwa kwa mtindo wa kunengua viuno huku ikifuata midundo ya ngoma kubwa, ngoma ndogo pamoja na chuma au kibati.
Katika ngoma hii, ngoma kubwa inapigwa kwa mikono, tofauti na ngoma nyingine aina ya Ndingala inayopigwa na vindundio.
Katika ngoma hii, wanaobeba ngoma ni wanenguaji na wapiga ngoma.
Ngoma ya Misukule ni ngoma toka KATETE kata ya Ndobo wilaya ya Kyela - Mbeya. Ngoma hii inatimu ya vijana, na inaongoza kwa manjonjo ya uchezaji kwa mitindo ya miziki ya kisasa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: