Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Kifo Cha Yohana Mbatizaji

Автор: Koinonia Education

Загружено: 2021-04-25

Просмотров: 1891

Описание:

14 Naye Mfalme Herode akasikia habari; kwa maana jina lake lilikuwa limeenea, akasema, Yohana Mbatizaji amefufuka katika wafu, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake.15 Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni kama mmoja wa manabii. 16 Lakini Herode aliposikia, alisema, Yohana, niliyemkata kichwa, amefufuka.
17 Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma watu, akamkamata Yohana, akamfunga gerezani, kwa ajili ya Herodia, mkewe Filipo, ndugu yake, kwa kuwa amemwoa; 18 kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo. 19 Naye yule Herodia akawa akimvizia, akataka kumwua, asiweze. 20 Maana Herode alimwogopa Yohana; akimjua kuwa ni mtu wa haki, mtakatifu, akamlinda; na alipokwisha kumsikiliza alifadhaika sana; naye alikuwa akimsikiliza kwa furaha. 21 Hata ilipotokea siku ya kufaa, na Herode, sikukuu ya kuzaliwa kwake, alipowafanyia karamu wakubwa wake, na majemadari, na watu wenye cheo wa Galilaya; 22 ndipo binti yake yule Herodia alipoingia, akacheza, akampendeza Herode na wale walioketi pamoja naye karamuni. Mfalme akamwambia yule kijana, Niombe lolote utakalo, nitakupa. 23 Akamwapia, lolote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu. 24 Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji. 25 Mara akaingia kwa haraka mbele ya mfalme, akaomba akisema, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji. 26 Mfalme akahuzunika sana, lakini kwa ajili ya viapo vyake, na kwa ajili ya hao walioketi karamuni, hakutaka kumkatalia. 27 Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani, 28 akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye. 29 Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Kifo Cha Yohana Mbatizaji

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Marko 6:7-13

Marko 6:7-13

MATHAYO 14:YOHANA AKATWA KICHWA NA MFALME HERODE

MATHAYO 14:YOHANA AKATWA KICHWA NA MFALME HERODE

Orędzie noworoczne Prezydenta RP

Orędzie noworoczne Prezydenta RP

Yohana Mbatizaji

Yohana Mbatizaji

YOHANA MBATIZAJI ALIKUWA NABII MKUBWA ILIKUWAJE AKAFUNGWA GEREZANI NA BAADAE KUUAWA?

YOHANA MBATIZAJI ALIKUWA NABII MKUBWA ILIKUWAJE AKAFUNGWA GEREZANI NA BAADAE KUUAWA?

VBV Swahili- Mathayo  14:1-12  - Kifo cha Yohana Mbatizaji

VBV Swahili- Mathayo 14:1-12 - Kifo cha Yohana Mbatizaji

Kumbukumbu ya Kifo cha Yohane Mbatizaji

Kumbukumbu ya Kifo cha Yohane Mbatizaji

AY Nyarugusu - Yohana (Gerezani)  Official Live Perfomance 2021  Mwenge SDA Church

AY Nyarugusu - Yohana (Gerezani) Official Live Perfomance 2021 Mwenge SDA Church

HISTORIA YA YOHANA MBATIZAJI/ MAISHA/KUJITOA HADI KIFO CHAKE

HISTORIA YA YOHANA MBATIZAJI/ MAISHA/KUJITOA HADI KIFO CHAKE

KALI ZA YOHANA MBATIZAJI..

KALI ZA YOHANA MBATIZAJI..

Sting - Shape of My Heart || Sylwester z Dwójką 2025

Sting - Shape of My Heart || Sylwester z Dwójką 2025

MATHAYO 3: MAHUBIRI YA YOHANA MBATIZAJI

MATHAYO 3: MAHUBIRI YA YOHANA MBATIZAJI

SAFARI YA ISRAEL SIKU YA 7 - 8

SAFARI YA ISRAEL SIKU YA 7 - 8 "2010" - GeorDavie TV

SAFARI YA ISRAEL SIKU YA 1 - 2

SAFARI YA ISRAEL SIKU YA 1 - 2 "2010" - GeorDavie TV

UTOFAUTI KATI YA YOHANA MBATIZAJI NA YOHANA MTUME WA YESU KRISTO

UTOFAUTI KATI YA YOHANA MBATIZAJI NA YOHANA MTUME WA YESU KRISTO

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Если у тебя спросили «Как твои дела?» — НЕ ГОВОРИ! Ты теряешь свою силу | Еврейская мудрость

Что они вытворяют в церкви! В это сложно поверить!

Что они вытворяют в церкви! В это сложно поверить!

BINTI HERODIA BY E.L.C.K MAKUTANO CATHEDRAL (KAPENGURIA)

BINTI HERODIA BY E.L.C.K MAKUTANO CATHEDRAL (KAPENGURIA)

FAFANUZI RAHISI YA KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA - UTANGULIZI (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

FAFANUZI RAHISI YA KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA - UTANGULIZI (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

Modzelewski: 2026 będzie rokiem wstrząsu

Modzelewski: 2026 będzie rokiem wstrząsu

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]