Kimbunga kikali chabomoa nyumba za watu 42 Lamu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-10-07
Просмотров: 3543
Familia 42 zimelazimika kukesha kwenye kibaridi kikali usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba zao kubomolewa na kimbunga kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika vijiji vya Satelight na Sportlight wadi ya Shella Kisiwani Amu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: