BAADA YA AGIZO LA RAIS NGORONGORO, WANANCHI WATOA TAMKO "WANAONDOA WATU"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-04-16
Просмотров: 99871
Baada ya agizo alilolitoa Rais wa Tanzania Samia Hassan la viongozi wa serikali kujadili mustakabadhi wa eneo la Ngorongoro wananchi wamekutana kujadili suala hilo lakini imeshidikana baada ya waziri wa maliasili na utalii aliyekuwa akutane nao kupata dharura nakupelekea wanachi kutoa maoni yao kuhusu suala hilo
Naibu waziri wa ofisi ya waziri mkuu uwekezaji William ole Nasha amesema atapanga siku nyingine ambayo atakuja na waziri huyokwa ajili yakuzungumzia changamoto hizo .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: