macaroni/makaroni ya nyama😋 /tumia njia hii nyepesi kuandaa
Автор: homecookingTz
Загружено: 2024-08-12
Просмотров: 18841
mahitaji
.macaroni 500g
.nyama ya ng'ombe 500g
.chumvi kijiko kimoja cha chakula
.haladari kijiko cha chai
.pilipili manga kijiko cha chai
.currypowder kijiko cha chakula
.soy source vijiko viwili vya chakula
.hoho moja kubwe
.nyanya tatu
.kitunguu maji viwili saizi ya kati
.kitunguu swaumu&tangawizi kijiko kimoja cha chakula
.siagi kijio kimoja cha chakula
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: