homecookingTz
Let's learn togather how to cook different food at home
jinsi ya kupika mchanganyiko wa mboga za majani(kabichi/cabage na chainizi)
jinsi ya kupika mseto wa maharage wanazi/chakula kizuri sana😋
jinsi ya kutengeneza maziwa ya soya/tumia njia hii kuzuia kuharibikamapema
mkate wa mvuke/kama hauna oven njia hii ni rafiki
pika hivi kashata za ufuta,haziitaji mambo mengi
pika ndizi mzuzu/mkono watembo+mayai/chakula cha haraka
jinsi ya kupika samaki wa kupaka/samaki wa kupaka kwa rojo ya nazi
macaroni/makaroni ya nyama😋 /tumia njia hii nyepesi kuandaa
uji wa nazi,rahisi kuandaa na nimtam sana😋
kutengeneza tofu/jibini ya maharage ya soya/ukitumia njia hii☝hauto acha kula tofu😋
jinsi ya kupika wali wa njano/wali wa manjano/tumeric rice/ wali mzuri sana
jinsi ya kupika vipopoo/matobosha ya unga wa ngano na nazi🌾
kupika muhogo wa nazi /mtamu na rahisi kupika
kupika uji wa ngano mzuri na mtamu
jinsi ya kupika ndizi za maarage nzuri na tamu
jinsi ya kupika njegere zenye rojo nzuri ya kuvutia
mchuzi mzuri wa mkia wa ng'ombe😋/pika kwa kutumia njia hii☝
jinsi ya kupika mchemsho mzuri wa nyama ya bata
jinsi ya kukaanga mihogo milaini na mitamu(tumia njia hii☝
pika hivi majani ya maboga yenye karanga, utaipenda mboga hii😋
jinsi ya kupika wali mweupe/wa maji ulio chambuka vizuri 🍚 🌾
jinsi ya kupika tambi za nyama ya kusaga kwa wepesi na haraka
siri ya kupika maandazi laini ya maziwa😋 tumia njia hii nyepesi sana
jinsi ya kupika pilau ya viungo vizima/pilau ya kizamani/pilau ya magome
pika hivi mchuzi wa samaki mbichi aina ya kambale ni mtamu sana😋
kutengeneza nyama ya kusaga kwa blenda nyumbani
kupika supu ya boga/pumpkin soup
kupika kaimati/kalimati(mandazi ya maji yasiyo nyonya mafuta ndani)
kuandaa na kupika mboga ya kisamvu(kisamvu cha karanga)
kupika vipopoo/mathobosha kwa njia mbili(kusonga na kukanda)