siri ya kupika maandazi laini ya maziwa😋 tumia njia hii nyepesi sana
Автор: homecookingTz
Загружено: 2023-09-08
Просмотров: 4454
*mahitaj
.unga wa ngano nusu kilo/500g
.sukari ,100g/vijiko 8 vya chakula
.hamira,kijiko cha chakula
.iliki, kijiko cha chakula kisijae sana
.baking powder,kijiko cha chai
.maziwa, mls250/robo lita
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: