mchuzi mzuri wa mkia wa ng'ombe😋/pika kwa kutumia njia hii☝
Автор: homecookingTz
Загружено: 2023-10-30
Просмотров: 1060
#mahitaji
.mkia wa ng'ombe robotatu
.pilipli manga kijiko cha chai
.kitunguu swaumu vijiko viwili vya chai
.paprika kijiko kimoja cha chakula
.vitunguu viwili saizi ya kati
.karoti mbili saizi ya kati
.hoho moja
.curry powder kijiko cha chakula
.masala ya nyama kijiko cha chai
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: