Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche Akamatwa Ghafla na Polisi Akiingia Mahakamani Dar es Salaam
Автор: GWIJI Tv
Загружено: 2025-10-22
Просмотров: 506
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amekamatwa na askari wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kuwasili katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam.
Mashuhuda wanasema polisi waliingia kwenye gari alilokuwa ndani Heche na kuondoka naye bila kueleza sababu za kukamatwa kwake.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema chama hakijapewa taarifa rasmi kuhusu sababu za kukamatwa kwa Heche.
Gwiji Tv inaendelea kufuatilia kwa ukaribu taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi.
👉 Usisahau kubonyeza SUBSCRIBE, LIKE, na BELL ICON kupata taarifa mpya kila zinapotoka!
#GwijitvUpdates #BreakingNews #CHADEMA #JohnHeche
. #GwijiTvUpdates
#trending #viral #shorts #viralvedio #comedy #funny #duet #fyp #gwijitv #chadema
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: