TFC YAKABIDHI MBOLEA SHULE MBALIMBALI ZA MSINGI ILEMELA - MWANZA
Автор: Kwizera TV
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 44
MWANZA: Kampuni ya mbolea nchini TFC imekabidhi mifuko ya mbolea katika halmashauri ya manispaa ya Ilemela ambayo itakabidhiwa katika shule mbalimbali wilayani humo lengo likiwa ni kuwawezesha kulima kilimo cha kisasa kitakachoongeza tija na mazao ya kutosha
Akizungumza wakati wa kupokea mbolea hiyo mkuu wa wilaya ya Ilemela Amir Mkalipa amesema mbolea hiyo itakuwa ni chachu kwa wanafunzi kujifunza kilimo cha kisasa kitakachoweza kuwasaidia katika maisha yao ya baadae
Naye Afisa Masoko kutoka kampuni ya mbolea nchini TFC Clara Kabwe amesema lengo ni kuunga mkono jitihada za serikali na kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija pamoja na kuchochea suala la lishe kwa wanafunzi shuleni
Na Fred Seleli- Mwamza
_________________
Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA
Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/
LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE
© All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2025
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: