Kaimu Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi wa Uzalishaji DAWASA wasimamishwa Kazi kwa Uzembe
Автор: JamiiForums
Загружено: 2024-07-01
Просмотров: 161
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiunga Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban Mkwanywe na kuanzia leo June 30,2024 ameiweka DAWASA chini ya uangalizi Wizara ili kuboresha utendaji wake kufuatia uzembe uliopelekea visima kukosa maji na kufanya Wakazi wa Dar es salaam kukosa maji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: