🔴MAUAJI YA KINYAMA PERAMIHO,ERIC Amchinja Hausigeli Baada ya Kukataliwa na Wazazi
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2025-05-17
Просмотров: 1154
MAUAJI YA KINYAMA PERAMIHO,ERIC Amchinja Hausigeli Baada ya Kukataliwa na Wazazi
Tukio la kusikitisha limeripotiwa Peramiho, mkoa wa Ruvuma, ambapo kijana aitwaye Eric Turuka (23), mchuuzi wa nyama ya nguruwe, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua msichana wa kazi, Shukrani Ajiriwa (19).
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, mauaji hayo yamesababishwa na wivu wa mapenzi baada ya wazazi wa marehemu kumkataa Eric kuwa mchumba wa binti yao.
Pia tunaripoti kuhusu ajali ya mgodi wa dhahabu iliyotokea Lukalasi, Mbinga, na kuua wachimbaji watatu.
▶️ Tazama video hii kufahamu undani wa tukio hili la kusikitisha.
#Ruvuma #MauajiPeramiho #HabariTanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: