Kibaha Farm: Mradi wa ufugaji kuku wa mayai, mbuzi, kondoo na ng'ombe wa maziwa
Автор: PROMO ONLINE TV
Загружено: 2020-05-22
Просмотров: 12581
Promo TV kupitia Agripromo tumefanikiwa kutembelea Kibaha Farm na kuzungumza na Dr. Peter Bahame, kuhusiana na mradi wake wa Ufugaji wa kuku wa kienyezi, kuku wa mayai, kondoo, mbuzi na ng'ombe wa maziwa.
Kibaha Farm si tu kwamba wanafuga bali wanauza Mayai, kuku wa Nyama, mbuzi, kondoo na maziwa.
Je, wewe unajihusisha na mambo ya kilimo biashara na ungependa kushiriki kwenye Agripromo? basi wasiana nasi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: