Mtambue G Classic Kipaji music na Harakati
Автор: Sambaza Ufahamu Online Tv
Загружено: 2025-07-29
Просмотров: 29
G classic ni msanii wa kizazi kipya anayefanyakazi zake za sanaa katika manispaa ya Lindi.
Sambaza ufahamu online Tv imemfuata kuzungumza nae kuhusu kipaji chake cha music harakati na mafanikio.
mara moja mnamo mwaka 2018 alichaguliwa baada ya kupita kwenye mchujo wa wasanii wa kusini watakaofanikiwa kupafomu kwenye jukwaa la wasafi festival.
#durusuzahistoria #sambazaufahamutanzania #linditanzania #gclassic #linditanzania #visitlinditanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: