Idadi ya watu waliofariki kufuatia vurugu za huko Ikolomani kaunti ya Kakamega imefikia watu 4
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 3731
Idadi ya watu waliofariki kufuatia vurugu za Alhamisi huko Ikolomani kaunti ya Kakamega imefikia watu wanne baada ya mtu mmoja zaidi kufariki akipokea matibabu. Wakazi wengine watatu wanapokea matibabu baada ya kupigwa risasi huku maafisa wawili wa polisi wakiwa mahututi baada ya kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kupinga shughuli ya kuchukua maoni ya ununuzi wa ardhi kwa uchimbaji dhahabu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: