DKT. BITEKO KUZINDUA USAFIRISHAJI KILOSA
Автор: Radiojamii Kilosa
Загружено: 2024-09-30
Просмотров: 19
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kati hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu wa usafirishaji kwa njia ya Reli ya kati (MGR).
Uzinduzi huo utafanyika katika stesheni ya Kilosa (Behewa) Jumanne 01, 2024 kuanzia majira ya Saa tatu asubuhi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: