KIFAFA CHA MIMBA:Sababu,Dalili,Matibabu
Автор: WikiElimu
Загружено: 2020-05-19
Просмотров: 4085
#Joel_Saro #WikiElimu #Kifafa_cha_mimba
Kifafa cha mimba (Eclampsia) ni degedege inayompata mwanamke mjamzito ambayo haihusiani kabisa na tatizo kwenye ubongo.
• Dalili za kifafa cha mimba ni pamoja na:
Maumivu ya misuli
Degedege
Kuwa mkali na mwenye hasira
Kupoteza fahamu
• Dalili zinazoashiria kuwa unaelekea kupata kifafa cha mimba (preeclampsia) ni pamoja na:
Kuongezeka uzito kwa zaidi ya kilo 1 kwa wiki
Kichwa kuuma
Kichefuchefu na kutapika
Maumivu ya tumbo
Kuvimba kwa mikono na uso
Matatizo ya kuona
JIFUNZE ZAIDI HAPA
*Website:http://wikielimu.com/index.php?title=...
TUFUATILIE HAPA
*Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_...
*Instagram: / wikielimu
*Twittwer: / wikielimu
MUSIC CREDIT
*https://www.bensound.com/
ASANTE, TU-SUPPORT SUBSCRIBE TAFADHALI, ASANTE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: