Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2020-12-01

Просмотров: 19728

Описание:

Presha ya Ujauzito, Presha ya Mimba, Shinikizo kubwa la Presha kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba, Kifafa Cha Ujauzito, Presha kubwa kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya katikati, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya mwishoni mwa Ujauzito, Presha ya Ujauzito na Dr.Mwanyika

Kuna baadhi ya akina Mama wajawazito huweza kupata shinikizo kubwa la Damu na wakaishia kupata kifafa cha Mimba katika kipindi fulani cha Ujauzito, 70% ya Wajawazito hao huwa ni wale wanaopata Ujauzito kwa mara ya kwanza uzeeni (Miaka 35 kwenda juu) au katika umri mdogo chini ya miaka 21.

Presha kutokana na Ujauzito/Mimba hujulikana kama ongezeko la shinikizo la damu kuanzia 140/90mmHg kuanzia wiki ya 20 (Miezi 5) kwenda juu kwa Mama ambaye alikuwa hana Presha kabla ya Ujauzito na huweza kupungua katika wiki 4 au 6 mara baada ya kujifungua na hata kama ikiendelea kuwepo basi huwa haizidi wiki 12 tokea Mama ajifungue.

Vihatarishi vinavyopelekea Mama/Dada kuwa na Presha kubwa katika Ujauzito wake.

1. Mimba ya kwanza Uzeeni au Utotoni!

2. Historia ya Presha kwa Mama yake mzazi.

3. Magonjwa ya kurithi mfano upungufu wa Protini C na S au (APS).

4. Matatizo kutokana na Kondo la nyuma mfano Mama mjamzito mwenye Kisukari au Mapacha.

5. Uzito Mkubwa / Fetma.

6.Baba Mpya.

Dalili za Presha kutokana na Ujauzito ni kama;

1. Kuongezeka kwa presha zaidi ya 140/90mmHg.

2. Maumivu ya kichwa yasiyopungua kwa kutumia dawa za maumivu.

3. Kuvimba Miguu ghafla au mwili mzima ikihusisha usoni.

4. Kupata shida ya kuona au kuona wenge.

5. Maumivu ya tumbo upande wa kulia sehemu ya juu!

6. Kukojoa Mkojo kidogo.

7. Kupata shida kwenye damu kwa sababu ya upungufu wa seli zinazogandisha Damu.

8. Kuongezeka kwa Protini kwenye Mkojo.

9. Kushindwa kupumua.

KUMBUKA; Uonapo Dalili hizo wakati wa Ujauzito basi unatakiwa kupata ushauri kutokwa kwa Mkunga au Daktari ili kuhakikisha unakuwa na Afya!

NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  

Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#PreshaMjamzito
#JapideAfya_Services

Dalili za  Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!

Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!

Presha ya Mimba. Jinsi ya Kujikinga Usipate. Zingatia haya

Presha ya Mimba. Jinsi ya Kujikinga Usipate. Zingatia haya

Sikiliza Dalili za Kifafa cha Mimba na Madhara Yake kwa Mjamzito?

Sikiliza Dalili za Kifafa cha Mimba na Madhara Yake kwa Mjamzito?

Chciał rozbioru Polski, stracił wszystko. Kleszcze Lubomirskiego

Chciał rozbioru Polski, stracił wszystko. Kleszcze Lubomirskiego

Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito

Dalili hatari kwa Mjamzito | Dalili za hatari kwa Mama Mjamzito

Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

Najgroźniejszy lek bez recepty ?! Prawie wszyscy go biorą…

Najgroźniejszy lek bez recepty ?! Prawie wszyscy go biorą…

Ukweli WA Feni Kwa Mtoto McHanga Madhara NA Faida Zake?

Ukweli WA Feni Kwa Mtoto McHanga Madhara NA Faida Zake?

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Je Presha Ya Kushuka Kwa Mjamzito Sababu Ni Nini?(Dalili na Madhara Yake Yapi Na Jinsi ya Kuongeza)!

Je Presha Ya Kushuka Kwa Mjamzito Sababu Ni Nini?(Dalili na Madhara Yake Yapi Na Jinsi ya Kuongeza)!

Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??

Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??

Malućkiemu kolęduje Mała Armia Janosika

Malućkiemu kolęduje Mała Armia Janosika

Presha Kubwa Kiasi ya Ujauzito na Matumizi ya Dawa

Presha Kubwa Kiasi ya Ujauzito na Matumizi ya Dawa

Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?

Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?

Damu zaidi ya 16g/dL kwa Mjamzito na Madhara yake!

Damu zaidi ya 16g/dL kwa Mjamzito na Madhara yake!

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Mjamzito Usipuuze Meno NI Hatari,Usilale NA Maumivu Ya Meno! Suluhisho Lake Hili!?

Mjamzito Usipuuze Meno NI Hatari,Usilale NA Maumivu Ya Meno! Suluhisho Lake Hili!?

Umejijua Mjamzito Leo? Haya Mambo 10 Ni Muhimu Kufanya Kabla ya Kujifungua!

Umejijua Mjamzito Leo? Haya Mambo 10 Ni Muhimu Kufanya Kabla ya Kujifungua!

KONIEC „Made in Germany”! Volkswagen zamyka fabrykę, a Europa gaśnie!

KONIEC „Made in Germany”! Volkswagen zamyka fabrykę, a Europa gaśnie!

DART, MŚ. KRZYSZTOF RATAJSKI – WESLEY PLAISIER. OGLĄDAJ SESJĘ POPOŁUDNIOWĄ

DART, MŚ. KRZYSZTOF RATAJSKI – WESLEY PLAISIER. OGLĄDAJ SESJĘ POPOŁUDNIOWĄ

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]