Fountain Gate yaahidi kuikazia Yanga kwenye mechi yao ya NBC Premier League
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 252
YANGA vs FOUNTAIN GATE: “Yanga ni timu bora”
Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Laizer anasema wanajua wanakwenda kucheza na timu bora kwa upande wa benchi la ufundi na upana wa kikosi.
Kocha huyo anasema na wao Fountain Gate pia ni timu kubwa na ina mwalimu ambaye ni chipukizi na ina wachezaji ambao washakutana na Yanga.
Kwa upande wake mchezaji Derick Mukombozi anasema wanajua kwamba wanakwenda kucheza na timu yenye wachezaji wazuri, lakini uwanjani watakuwa 11 kila upande.
Mechi itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: