Round Up: Single ya Hamisa na povu la Ray C, Mavoko ndio basi tena WCB, Nick na Urais
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2018-08-22
Просмотров: 6027
Sky, Creez na Esco wanajadiliana matukio muhimu yaliyotokea wiki hii. Wanazungumza kuhusu Komaa Concert iliyofanyika Jumamosi jijini Dar, suala la Mavoko na WCB, single ya Hamisa Mobetto na mtazamo wa watu mbalimbali ukiwemo wa Ray C. Pia wamegusia ndoto ya Nick wa Pili ya kuwa Rais
MUDA:
0:00 - 4:25 Komaa Concert
4:25 - 11:22 Rich Mavoko
11:22 - 25:15 Hamisa Mobetto
25:15 - Nick wa Pili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: