Makonda Aingia Mwanza kwa Kishindo, Aongea Kisukuma, Ageuka Kivutio, watu Wataka Picha
Автор: Focus TV Tanzania
Загружено: 2025-10-06
Просмотров: 30289
Makonda Aingia Mwanza kwa Kishindo, Aongea Kisukuma, Ageuka Kivutio Kila Mtu anataka Kupiga naye Picha
Baada ya Dkt. Samia kumaliza Kampeni zake Mkoani Arusha, Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, akaanza rasmi kukata Mbuga lami Kwa lami kuhakikisha alipo Samia na yeye yupo.
Ukiachana na ile safari ya Makonda Kuingia Karatu Kwa Kishindo, akakutana na rafiki yake Nape, Kuna hii Safari ya Mwanza, ina Balaa na kishindo cha aina yake.
Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.
Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.
Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.
Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). {TCRA/OMST/0071/2023}
#FocusTVTanzania
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: