KUMEKUCHA: UJENZI BARABARA YA MZUNGUKO MANISPAA YA TABORA, KM 82.4 - TANROADS NA TARURA NGUVU MOJA
Автор: Torontotv Tabora
Загружено: 2023-08-07
Просмотров: 1408
Mkoa wa Tabora una jumla ya Km 2,188.09 za Barabara ambapo kati ya hizo Barabara Kuu zenye Lami ni Km 794.67 naza Changarawe ni Km 172.42. Kwa Upande wa Barabara za Mkoa zenye Lami ni Km 53.74 naza Changarawe ni Km 1,104.27, huku Barabara za Wilaya zenye Lami ni Km 3.0 naza Changarawe ni Km 59.99.
Kwa habari na Matukio yote Muhimu yenye Maslahi mapana kwa UMMA, wasiliana nasi kwa +255 764 736 372, +255 787 721 965 Barua pepe, [email protected], Tufuatilie katika Mitandao yetu ya Kijamii, Youtube, Twitter, Facebook na Instagram kwa jina la Torontotv Tabora. "Toronto Online Tv - habari na matukio tumekufikia"
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: