MAAJABU: MSITU WA VIKINDU ULIOPAKANA NA DAR ES SALAAM "KUNA NGIRI, NGEDERE"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2019-04-01
Просмотров: 5859
Msitu wa hifadhi Vikindu upo katika wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Msitu huo una ukubwa wa takribani hekari 1,681 na upo kilomita 17 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam.
Inaelezwa kuwa vivutio vilivyopo katika msitu huo ni pamoja na mimea asilia na wanyama mbalimbali wakiwemo mbega wenye rangi nyeupe na nyeusi (black and white colubus monkey), swala, ngiri, ngedere, kima na nyoka. pia wanapatikana ndege adimu duniani kama vile ‘african open billed’ na ‘pulmnut vulcher’.
Pia hifadhi hii ina vyanzo vizuri vya chemchemi na mabwawa ya maji ambayo yanaweza kutumika kwa ufugaji wa samaki wanaoweza kutumika kama kivutio cha utalii wa kuvua (sport fishing). hifadhi pia inaweza kutumika kwa utalii wa picha (commercial filming) na ufugaji nyuki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: