Mbunge Awapigania Waliozuiliwa kuingia Ndani Ya Ukuta Wa MAGUFULI Mererani
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-04-12
Просмотров: 2442
Mbunge Awapigania Waliozuiliwa kuingia Ndani Ya Ukuta Wa MAGUFULI Mererani
Mbunge wa Jimbo La Simanjiro James Ole Millya amezungumza na wafanya biashara wa madini maarufu kama (Broker) walio kuwa wamezui;iwa kuingia ndanina kuzuiliwa kwa baadhi yao huku wakiwa na vitambulisho vinavyo watambulisha.Mbunge Ole Millya amewataka wafanya biashara hao kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa na serikali na waache kuwazomea viongozi wanaofanya kazi kwa niaba ya Rais katika eno hilo.https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: