LIVE
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 346
Misa hii inaadhimishwa na mhashamu Baba Askofu Romanus Mihali wa Jimbo la Iringa.
Watoto wa shirika la kipapa mtoto Yesu jimbo la Iringa wanahitimisha kilele cha Hija ya yubilei kuu 2025 katika Shule ya secondari ya mt. Dominic savio kigonzile. Watoto 1,660 wa Jimbo la Iringa kutoka parokia 27 za Jimbo kati ya parokia 32 wanahudhuria adhimisho hili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: