MANZESE CREW (NARLON ) part 2: NILIPIGANA NA MAJANI AKANIITIA MWIZI/NILINUSURIKA SABABU YA MICHANO
Автор: KuviFacts
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 2349
HIPHOP CORNER EP 9 With NARLON FROM MANZESE CREW
Manzese Crew ni moja ya makundi makongwe nchini katika historia ya Rap na Bongoflava kwa ujumla ,ni kundi lililoanzishwa yapata miaka 30 iliopita na kufanikiwa kuteka hisia za wanahiphop nchini,safari Yao ilikua na simulizi nyingi za kutisha na kuchekesha lakini pia kuburudisha,karibu kutazama sehemu ya pili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: