Shangwe na Nderemo zasikika KKKT Dayosisi ya Kaskazini JKK Usharika wa Kiboriloni
Автор: Mwanga Media
Загружено: 2024-11-10
Просмотров: 1530
Shangwe na Nderemo za sikika usharika wa Kiboriloni kwa Ask. Dr. Shoo kuweka Jiwe la Pembe kwenye jengo la Watoto na Kufungua Jengo la kuabudia ush. Kiboriloni mtaa wa Aneyndumi .
Kwenye Mahubiri ya Ibada hiyo Msaidizi wa Askofu KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mch. D. Msanya awahasa Wakristo kuwa, MWENYE KUVUMILIA HATA MWISHO NDIYE ATAKAYEOKOKA.
Bonyeza sehemu iliyoandikwa SUBSCRIBE ili kuwa wakanza kupata matukio yetu mbalimbali, LIKE na kuweka maoni yako sehemu iliyoandikwa COMMENT na uwashirikishe wengine kwa kusambaza link yetu iliyosehemu ya SHARE. Asante Mungu akubariki sana.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: