WAFANYABIASHARA SOKO KUU MWANZA WAFUNGUKA BEI KUPAA.
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 73
Wakizungumza na abood tv wafanyabiashara wa soko kuu jijini Mwanza wamesema hali ya biashara ipo vizuri isipokuwa kwenye upande wa nguo ndio watu wanachangamkia ila kwenye upande wa nafaka bei zipo kawaida tofauti na misimu mingine ya Sikukuu zilizopita .
Kwa upande wake mwenyekiti wa soko kuu amad mchora amesema hali ya soko hilo kwenye msimu huu wa Sikukuu ipo vizuri ila baadha ya wafanyabiashara waliogopa kuaguza bidhaa kutokana na hali ilivyokuwa apo nyuma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: