Kwaheri Mama Khadija Baramia
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2019-08-23
Просмотров: 23324
Msanii mkongwe wa Taarab Asilia, Bi Khadija Omar Baramia, amezikwa leo Ijumaa (23 Agosti 2019) katika Makaburi ya Mwanakwerekwe, Unguja, baada ya kufariki dunia akiwa matibabuni nchini Oman. Innalillah wainna ilayhir raajiun.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: