Usafiri mbadala Ujerumani
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2020-08-13
Просмотров: 605
Usafiri mbadala ni jambo linalotiliwa mkazo kwenye miji mikubwa barani Ulaya ili kunusuru Mazingira. Mjini Berlin yamefanyika maonesho ya kuwahimiza watu kuachana na magari binafsi na kugeukia usafiri mbadala ili kunusuru mazingira. Video na Harrison Mwilima. Kurunzi Ujerumani 13.08.2020
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: