LIVE
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 12
Adhimisho hili linaadhimishwa na Mhashamu Baba Askofu Romanus Mihali wa Jimbo la Iringa akishirikiana na Padre Fulbert Ngonyani, SDB, Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni - Mkwawa
Watawa na waamini wenye mapenzi mema wanashiriki adhimisho hili.
Karibu Tushiriki pamoja nasi katika adhimisho hili na Tunaomba utujuze unatufuatilia ukiwa wapi?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: